Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania, Fadhil Mwasyeba (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa makubaliano ya mkataba wa kujiunga na SelCom kwa ajili ya Malipo ya Zuku, wengine ni Meneja wa matangazo na Masoko wa Kampuni ya SelCom Wireless Paypoint, Juma Mgori na Meneja wa Bidhaa na Uboreshwaji wa viwango, Julio Batilia (Picha na Burudan Blog)