WAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA MTERA!

Mhandisi Mkuu wa Uendeshaji kutoka kituo cha kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mtera, Julius Chomolla akitoa maelezo kuhusu kipimo cha kuonyesha maji yamejaa katika eneo hilo. Katika kiuto hicho kiwango cha juu cha kuzalisha umeme ni mita 698 wakati cha chini cha kuzalisha nishati hiyo ni mita 690 na jana (juzi) kipimo hicho kilionyesha mita 690.74, ambapo. Bwawa hilo linazalisha umeme MW 33 badala ya MW 80.Mhandisi Mkuu wa Uendeshaji kutoka kituo cha kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mtera ,Julius Chomolla akionyesha kipimo cha kuonyesha maji yaliyopungua.Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiangalia jinsi bwawa la Mtera ilivyopungua maji.Mhandisi Mkuu wa Uendeshaji kutoka kituoncha kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mtera akitoa maelezo ya jinsi mtambo wa uendeshaji wa umeme unavyofanya kazi kwa waandishi wa habari.04467ni baadhi ya waandishi wa habari kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari wakipata maelezo ya uzalishaji wa umeme katika kituo cha Mtera.baadhio ya waandishi wa habari wakiwa katika ziara ya Mtera.

PICHA ZOTE NA MAGRETH KINABO-MAELEZO