
Vibanda kama hivi vipo ndani ya kituo kikuu cha mabasi cha Morogoro maarufu kama Msamvu, duh... aibu!

Hii ni sehemu ya Kituo Kikuu cha Mabasi mkoani Morogoro ambayo imejengwa kisasa kama unavyoona baadhi ya maeneo. Lakini licha ya kituo hiki kijengwa kisasa vibanda vilivyojengwa holela na vilivyochakaa vinaharibu madhari ya kituo hiki, wahusika mwalijua hili!