Ziara ya dev.kisakuzi.com mkoani Iringa

Milima iliyopambwa kwa mawe inayopendezesha Mkoa wa Iringa, mlima huu ndio mrefu kupita yote ndani ya Manispaa hiyo.

Unapoingia mjni Iringa kwa njia ya gari lazima ukutane na madhari kama hizi za milima ya mawe kama unavyoona pichani

Mambo ya Kitonka, hii ni sehemu ya mteremko wa Mlima wa Kitonka ambao ni hatari endapo dereva hautokuwa makini unapoupanda au kuteremka

Hii ndio milima ya Kitonka iliyopo barabara Kuu ya Kuelekea Iringa kutokea Morogoro