
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimshukuru mjumbe wa shina namba mbili, Mtaa wa Singida, Tawi la CCM Tandala, Makete mkoani Njombe, Zakia Sanga, baada ya kushiriki kikao cha shina hilo, leo Mei 30, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe. Wapili kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza kwenye mkutano wa shina namba mbili, Mtaa wa Singida, Tawi la Tandala, wilayani Makete mkoani Njombe. (Picha na Bashir Nkoromo).

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa na mjumbe wa shina namba mbili, Paschal Sanga, wakati mjumbe huo aliposindikiza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa tano lushioto), baada ya Kinana na Nape kushiriki kikao cha shina hilo, leo Mei 30, 2013 akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa chama mkoani Njombe.