Ziara ya Kinana Mjini Urambo Tabora

Kinana Sitaa wakishiriki ujenzi shule ya sekondari Uyumbi, Urambo.

Kinana akitazama mahindi yanavyopata maji kupitia matone, katika shamba darasa la Kapilula, Urambo.

Kaibu Mkuu wa CCMN, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya Wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mei 16, 2014 katika viwanja vya Mwananchi Squire mjini Urambo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Tabora.

Kinana akiinuliwa baada ya kusimikwa uchifu wa Wanyamwezi kabla ya kuhutubia mkutano huo.

Makatibu wakiwa na baiskeli zao baada ya kukabidhiwa na Kinana kwenye mkutano huo.

Kaibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipita katikati ya Vijana wa CCM wakati wa mapokezi yake eneo la Zimbili, Urambo Mkoani Tabora.

Vijana wakiwa wamedandia kwenye lori lililokuwa limeegeshwa ili wapate kumuona vizuri Kinana kwenye mkutano huo.