
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kadi za wananchama waliojiunga na moja ya matawi yaliyopo mjini Mbalizi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana na ujumbe wake pamoja na viongozi wenzake wakielekea kwenye mkutano wa ndani. Picha na FullShangwe Blog Mbeya Vijijini.