Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
.Ali Mohamed Shein,akiangalia utengenezaji wa barabara inayojengwa kwa
Kutumia Saruji,Mchanga na Kifusi,ili kuzuiya uhifadhi wa mazingira ya
misitu,katika msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba,alipofanya ziara
jana kuangalia maendeleo ya jamii.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu. ]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
.Ali Mohamed Shein,akipokea Ripoti ya utendaji kazi ya Mkoa wa
Kaskazini Pemba,kutoka kwa Mkuu wa Mkoa huo Dadi Faki Dadi, katika
ukumbi wa mikutano wa Jamhuri Hall,akiwa katika ziara ya kikazi
katika Mkoa huo iliyoanza jana kwa kutembelea miradi mbali mbali ya
maendeleo, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa Ofisi ya Mkoa wa
Kaskazini Pemba,alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Jamhuri
Hall,alipofika kupata ripoti ya Mkoa ,akiwa katika ziara ya kikazi
katika Mkoa huo iliyoanza jana kwa kutembelea miradi mbali mbali ya
maendeleo, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]