Ziara ya Dk. Shein Mkoa wa Kusini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Uendeshaji wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, Bibi Asha Khalfan, alipoangalia bidhaa za vikundi vya ushirika katika mkutano wa watendaji wa Mkoa wa Kusini Unguja, katika mkutano wa majumuisho ya Ziara aliyoifanya katika Mkoa huo, huko Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu.
(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)