Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea hundi ya sh. milioni 50 kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikiwa ni rambirambi ya ajali ya ghorofa 16 liloporomoka na kusababisha maafa Machi 29, 2013 jijini Dar es Salaam, hundi hiyo imekabidhiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Osterbay jijini Dar es Salaam (Picha zote na Chris Mfinanga)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika hafla ya kupokea hundi ya sh. milioni 50 kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikiwa ni rambirambi ya ajali ya ghorofa 16 liloporomoka na kusababisha maafa Machi 29, 2013 jijini Dar es Salaam, hundi hiyo imekabidhiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Osterbay jijini Dar es Salaam (Picha zote na Chris Mfinanga)