![Zantel nao wazindua intaneti ya 3G](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/05/DSC_0259.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu za Mkononi Zantel hapa Zanzibar CEO Ali Bin Jarsh, wakibonyeza kitufe ikiwa ni uzinduzi wa kifaa cha mtandao mpya wa Zantel -3G, katika Ukumbi wa Zanzibar Beash Resort jana.
![Viongozi na wadau mbalimbali wa kampuni ya Simu za Mkononi Zanztel wakiwa katika uzinduzi wa Kifaa kipya cha Mtandao wa Zanzite -3G](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/05/DSC_0181.jpg)