
Zainabu Mhamila (Ikota) akiwa katika pozi

Rajabu Mhamila akimkabidhi mwanaye kipenzi Ikota laptop kama zawadi ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa. Ikota ametimiza miaka 10 sasa.

Ikota katikati akiwa katika picha ya pamoja na baba yake Rajabu Mhamila 'Super D' na mama yake Asha Kamnyanga a.k.a mama Ikota.