Mratibu wa mradi wa nishati wa shirika la Utunzaji wa mazingira
duniani(WWF- Tanzania)Dk Teresia Olemako akizungumza kwenye mkutano wa
Wasaa wa Mazingira(Earth Hour City Challenges)
|
Mganga Mkuu wa Jiji la Arusha,Dk Bakari Salum akifungua mkutano wa Wasaa wa Mazingira(Earth Hour City Challenges)kwa watumishi wa
halmashauri ya Jiji la Arusha unaowajengea uwezo kuweka mipango
inayoendana na mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika kwenye hotel ya Palace jijni Arusha kushoto ni Mratibu wa mradi wa nishati wa shirika la Utunzaji wa mazingira duniani(WWF- Tanzania)Dk Teresia Olemako |
|
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Jiji la Arusha,Nteghenjwa Hoseah akiwasilisha mada ya namna Jiji hilo lilijipanga kuhakikisha linakua safi kwa kushirikiana na wadau na kulifanya kuwa kivutio cha watalii na wegeni wengine. |
|
Watumishi wa halmashauri ya Jiji la Arusha wakifatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa zenye lengo la kulifanya Jiji kuwa la mfano barani Afrika. |
|
Watumishi wa halmashauri ya Jiji la Arusha wakifatilia kwa makini mada . |
|
Afisa Mawasiliano wa WWF,Michael Bwoma(kushoto)akifatilia kwa makini wengine ni waandishi wa habari mkoani Arusha. |