Wizara ya Maliasili Yakabidhiwa Magari ya Kudhibiti Ujangili wa Tembo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akipokea funguo ya moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350, kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana limemalizika leo Mei 10, 2014. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Abdulkarim Shah. Picha na Sufianimafoto.com

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akijaribu kuwasha moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana limemalizika leo Mei 10, 2014. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Abdulkarim Shah. Picha na Sufianimafoto.com

Wakibadilishana mkataba huo baada ya kutiliana saini. Kushoto ni Naibu Spika  wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai.Picha na Sufianimafoto.com

Wakibadilishana mkataba huo baada ya kutiliana saini. Kushoto ni Naibu Spika 
wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai.Picha na Sufianimafoto.com

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akionyesha funguo ya moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350, baada ya kupokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi (kulia) wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana limemalizika leo Mei 10, 2014.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Abdulkarim Shah. Picha na Sufianimafoto.com

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akishuka kwenye moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350, baada ya kulijaribu alipokabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana limemalizika leo Mei 10, 2014. Picha na Sufianimafoto.com