Wizara ya Afya yazindua Mpango mkakati wa huduma za macho

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Hadji Mponda akimkabidhi Kaimu mganga mkuu wa Serikali Dk. Donarld Mpando nakala ya Mpango mkakati wa taifa wa huduma za macho utakaoanza kutumika nchini mara baada ya kuzinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.