
Kaimu mgaga mkuu wa serikali Dkt. Donan Mmbando akizungumza na ujumbe wa Biashara na Uwekezaji katika huduma za afya kutoka nchini Netherland mara baada ya ujumbe huo kuwasili makao makuu ya Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii jijini Dar es Salaam

Kamishina wa Idara ya Ustawi wa Jamii wa Wizara ya Afya Bw. Danford Makala (kulia) akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu Ustawi wa jamii wakati wa mkutano kati ya Ujumbe wa Biashara na Uwekezaji katika huduma za afya kutoka nchini Netherland na watendaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii jijini Dar es salaam.