Chombo cha kutoa ubaridi (AC) ambacho kiliwekwa angalau kupunguza joto la Dar es salaam ofisini humo, lakini kwa sasa ndege wamepata mahala pa kujipumzikia na kuzaliana, lakini sio ishu.
Taa nazo ziko hoi zinaning’inia tu, jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa watu.
Baadhi ya Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakisubiri wahusika wa TFF, kukutana na Wanahabari hao kwa ajili ya kuwapa taarifa mbalimbali za michezo, ili jamii ihabarishwe.
Dude la kuwekea Maji ya Kunywa ambalo sijui kwa mara ya mwisho lilitumika lini, kwani limejaa vumbi, haliangaliwi tena. |