Wengi Wafurika Banda la NSSF TCC Chang’ombe

Meneja Kiongozi wa Idara ya Uhusiano na Huduma Kwa wateja, Bi. Eunice Chiume akitoa maeleo kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na Shirika hilo katika viwanja vya TCC Club Chang'ombe. Kulia ni Ofisa Mwandamizi wa Idara ya Uhusano na Huduma Kwa wateja.

Meneja Kiongozi wa Idara ya Uhusiano na Huduma Kwa wateja, Bi. Eunice Chiume akitoa maeleo kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na Shirika hilo katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe. Kulia ni Ofisa Mwandamizi wa Idara ya Uhusano na Huduma Kwa wateja.

Ofisa mwandamizi wa NSSF kutoka Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja akimkabidhi tisheti mwanachama, Oliver Albert (kulia) alietembelea banda hilo katika Viwanja vya TCC Chang'ombe.

Ofisa mwandamizi wa NSSF kutoka Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja akimkabidhi tisheti mwanachama, Oliver Albert (kulia) alietembelea banda hilo katika Viwanja vya TCC Chang’ombe.

Ofisa wa NSSF, Ramadhani Jumbe (kushoto) akimwandikisha mwanachama mpya katika Banda la NSSF katika wiki ya huduma kwa Wateja NSSF clinic inayoendelea katika viwanja vya TCC Club Chang'ombe.

Ofisa wa NSSF, Ramadhani Jumbe (kushoto) akimwandikisha mwanachama mpya katika Banda la NSSF katika wiki ya huduma kwa Wateja NSSF clinic inayoendelea katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe.

Ofisa wa NSSF, Athuman Ally akiwapa wanachama taarifa za michango yao walipotembelea Banda la NSSF katika viwanja vya TCC Club Chang'ombe.

Ofisa wa NSSF, Athuman Ally akiwapa wanachama taarifa za michango yao walipotembelea Banda la NSSF katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe.

Timu ya NSSF inayoshiriki kutoa Huduma na elimu mbalimbali kwa wateja kwenye NSSF CLINIC wakiwa katika picha ya Pamoja katika Banda lao kwenye viwanja vya TCC Club Chang'ombe jijini Dar es Salaam.

Timu ya NSSF inayoshiriki kutoa Huduma na elimu mbalimbali kwa wateja kwenye NSSF CLINIC wakiwa katika picha ya Pamoja katika Banda lao kwenye viwanja vya TCC Club Chang’ombe jijini Dar es Salaam.

Timu ya Netboli ya Habari Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mchezo wao dhidi ya Business Times.

Timu ya Netboli ya Habari Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mchezo wao dhidi ya Business Times.

Timu ya Mpira wa Miguu ya Habari Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mchezo wao dhidi ya Clouds Media katika viwanja vya TCC Chang'ombe.

Timu ya Mpira wa Miguu ya Habari Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mchezo wao dhidi ya Clouds Media katika viwanja vya TCC Chang’ombe.