Website ya Ngoma Africa Band ‘FFU’ Yaanza Kurusha Muziki Hewani

Bendi ya FFU

WEBSITE www.ngoma-africa.com ya Ngoma Africa Band au maarufu kama ‘FFU’ imeanza tena kurusha muziki hewani, baada ya marekebisho machache yanayoendelea kufanywa ili kubadili sura ya mtandao huo.
Tuvoti hiyo ilisimamisha kurusha muziki hewani kwa muda wa siku nzima hivi karibuni na
sasa inarusha tena muziki hewani na hivyo wapenzi wake wanaweza kuendelea kupata burudani
kamili kwa kusikiliza nyimbo a.k.a (Virungu vya FFU) at http://www.ngoma-africa.com
au www.ngoma-africa.com Usikose kuwasiliana nao at contact@ngoma-africa.com.