Waziri Ummy Mwalimu Atembelea Kambi ya Kipindupindu Geita

Waziri Ummy akivaa vifaa maalum vya kujikinga na kipindupindu kabla ya kuingia kwenye kambi hiyo,kulia ni Mganga mfawidhi wa Kituo hicho Josephat Msafiri. (Picha Zote na Catherine Sungura WAMJW-GEITA)

Wananchi wa Mkoa wa Geita wametakiwa kufuata kanuni za usafi wa mazingira ili kudhibiti maumbukizi ya ugonjwa wa kipindupindu, Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu mara baada ya kutembelea kambi ya kipindupindu iliyopo kwenye kituo cha afya cha Nyankumbu, mkoani hapa

mli2

Waziri Ummy akivua vifaa hivyo mara baada ya kutoka kuwasalimia wagonjwa wa kipindupindu waliolazwa kwenye kambi hiyo, wagonjwa waliopo ni wagonjwa wanne.

mli3

Waziri huyo akiongea na mmoja wa wagonjwa wa kipindupindu waliolazwa kwenye kambi hiyo

mli4

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiwasalimia wagonjwa wa kipindupindu (hawapo pichani) kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita Dk. Joseph Kisala

mli5

Baadhi ya wagonjwa wa kipindupindu waliolazwa kwenye kambi ya kituo cha afya cha Nyankumbu