Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ana mkabidhi Mkurugenzi mtendaji wa Tasaf bwana Ladislaus Mwamanga kitabu alicho kizindua cha mpango kazi cha kitaifa awamu ya pili cha huduma kwa watoto walio katika mazingira hatarishi uzinduzi huo ulifanyika kitaifa mkoani dodoma picha na chris mfinanga
picha ya pamoja
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anahutubia wana nchi wa mkoa wa Dodoma wakati wa uzinduzi wa mpango (2013 hadi 2017 ) wa pili wa kitaifa wa huduma kwa watoto walio katika mazingira hatarishi hapa nchini uzinduzi huo umefanyika kitaifa mkoani Dodoma nakuhudhuriwa na Mawaziri mabalozi wanao wakilisha nchi zao pamoja na mashirika ya kimataifa picha na CRIS MFINANGA