Waziri Pinda atembelea banda la PPF SabaSaba


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibadlishana mawazo na Meneja Uhusiano wa PPF Lulu Mengele (kushoto) na mama mzazi wa Mwanafunzi anayelipiwa ada na PPF chini ya mafao ya elimu Rachel Mwichumu (kulia) mara baada ya Waziri Mkuu kutembelea banda la PPF na kutoa mkoba wa madaftari kwa Ernest Mwichumu kwenye maonesho ya 35 ya kimataifa ya biashara ya Dar es Salam. Picha na Maelezo-Dar es Salaam.