Waziri Pinda Akutana na Mawaziri na Wataalamu wa Kilimo kujadili Ongezeko la Bei za Vyakula

Waziri Mkuu Mizengo P. Pinda amekutana na Waziri wa Kilimo Mhe. Eng. Christopher Chiza (Mb), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Uratibu na Bunge Mh. William Lukuvi (Mb), Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Janet Mbene (Mb), Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Gregory Teu (Mb), Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Wataalamu kutoka Wakala wa Hifadhi ya Chakula ya Taifa kujadili hali ya ongezeko la bei ya chakula nchini hasa katika baadhi ya miji mikuu.