Waziri Mkuu Mizengo Pinda akianangalia shamba la mahindi katika kijiji cha Mwamapuli ambalo limepandwa kwa kufuata mstari kushoto kwake ni mtalamu wa mifugo uvuvi na nyuki kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Nemes Makembe na anayefuatia ni Kanali Ngerema Rubinga ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele picha na chris mfinanga
Kikundi cha kina mama wa kijiji cha Mbede kijulikanacho Itwa Maswolwa wakicheza ngoma ya Nsimba wakati Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipo wasili katika kijiji hicho kwa ajili ya mkutano wa hadhara Waziri mkuu ambaye ni Mbunge wa jimbo la Katavi yupo mkoani hapa kwa ajili ya kuhamasiha shughuli za maendeleo picha na chris mfinanga
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimpiga picha twiga (hayupo pichani) aliyekuwa jirani na bwalo la chakula katika hifadhi ya Katavi.Waziri mkuu alikuwepo kwa ajili ya kupata chakula cha mchana baada ya mkutano wa hadhara katika kijiji cha Stalike nyuma yake ni Muhifadhi Mkuu wa Mbuga ya Katavi Jonh Gara. picha na chris mfinanga