Waziri Pinda Afungua Mkutano Mkuu Sekta ya Mafuta na Gesi Afrika Mashariki

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wentworth Resource Bwana Robert Mcbean anaye tarajia kujenga kiwanda cha Mbolea mkoani Mtwara kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali mstaafu Simbakalia Mh waziri mkuu ndiye alikuwa mgeni rasimi wa mkutano mkuu wa sita wa mafuta nagesi katika nchi za afrika mashariki ambao unafanyika kwa siku mbili mjini Arusha

PICHA NA CHRIS MFINANGA