Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na anajadiliana jambo wageni waliohudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu maji salama na safi kushoto aliye vaa tai nyekundu ni Profesa Shem Wandiga kutoka chuo kikuu cha Nairobi aliye katikati ni Mkurugenzi wa Maji safi na salama Dduniani Profesa Benito Marinas kutoka chuo kikuu cha ILLINOIS nchini Marekani mkutano huo wa sikutatu unafanyika mjini Arusha picha na CHRIS MFINANGA
h Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anajadiliana jambo na Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mandela Profesa Burton Mwamila pamoja na Mkurugenzi mkuu wa maji safi na salama Profesa Benito Marinas kutoka chuo kikuu cha ILLINOIS kilichopo nchini Marekni picha na CHRIS MFINANGA