Waziri Nape Nnauye Awakaribisha Wasanii Bungeni..!

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akisalimiana na mmoja wa wasanii waliotinga Bungeni.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akisalimiana na mmoja wa wasanii waliotinga Bungeni.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiwa na wasanii mbalimbali pamoja na blogger nje ya bunge baada ya kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma.

 Msanii Wema Sepetu akiwa na baadhi ya wasanii wengine bungeni

 Nape akiwa na baadhi ya wasanii nje ya Bunge.

 Wema Sepetu akiwa na Martha Mlata.

 

Wema akiwa na mmoja wa marafiki zake bungeni Dodoma

Mchekeshaji Masanja wa kikundi cha Ze Comedy akiwa bungeni wakati wa Bajeti hiyo. Picha na Richard Mwaikenda.