Waziri Nape Avamia Kariakoo Kusaka Wauzaji Feki Kazi za Wasanii

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na mmiliki wa Hotili ya Butelfy iliyopo Kariakoo jijini Dar es Salaam Bwana Phili Ulaya Mdolo ambaye anatuhumiwa kudurufu kazi za muziki na Filamu kinyume na Sheria kabla ya mmiliki huyo kukamatwa na vyombo vya dola.(Picha na Benjamin Sawe)

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na wanahabari baada ya kukagua na kumkamata Bw. Phili Ulaya Mdolo ambaye atatuhumiwa kudurufu kazi za muziki na filamu kinyume na Sheria.(Picha na Benjamin Sawe)

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye (kulia) akiwa katika moja ya mitaa ya Karikoo ikiwa ni ziara ya kukagua wafanyabiashara wanaodurufu kazi za wasanii wa muziki na Filamu kinyume na sheria.(Picha na Benjamin Sawe)