Waziri Mkuu Pinda Azungumza na Mbunifu wa Mavazi Sheria Ngowi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia na kuchagua aina ya vitambaa vya suti amabvyo vitatumika kutengenza baadhi ya Suti Zake alipotembelewa na Mbunifu wa Kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi jana jijini Dar es Salaam. Picha Zote: Atuza Nkurlu-Sheria Ngowi Brand

Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi akimuonesha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baadhi ya vitambaa vya kisasa vya suti ambavyo vitatuka  Kumtengenezea Waziri Mkuu  jana jijini Dar es Salaam.

WaziriMkuu, MizengoPinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar esSalaam. (Picha Zote: AtuzaNkurlu-SheriaNgowi Brand)