
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipiga fimbo mfano wa umbo la yai ikiwa ni ishara ya kuzindua matokeo ya utafiti wa kuboresha ufugaji wa kuku wa asili katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jana jijini Dar es Salaam. Picha na Magreth Kinabo - MAELEZO

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo ya ufugaji kuku wa asili kutoka kwa mfugaji, Godfrey Mwaipopo mkazi wa Kibaha wakati wa uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa kuboresha ufugaji wa kuku wa asili katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jana jijini Dar es Salaam. Picha na Magreth Kinabo - MAELEZO