WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UDSM.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Makamu Mkuu wa Cho Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala, Novemba 26, 2010

Waziri MkuuMizengo Pinda kiongozwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Fulgence Kazaura (kushoto), Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Jaji Joseph Sinde Warioba na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Rwekaza Mukandala kuelekea kwenye ukumbi wa Nkurumah Novemba 26, 2010 ambapo alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa sherehe za miaka 50 ya CHuo Kikuu cha Dar es salaam.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Salome Maro ambaye ni Mwanachuo aliyefanya vizuri na kupata daraja la kwanza akiwa na GPS 4.5 katika kozi ya Computer Science kwenye Chuo Kikuu cha Dar es salaam