Waziri Mkuu Majaliwa Ahoji Mradi wa DART Tamisemi

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa akiongea na baadhi ya vingozi na watendaji wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) alipotembelea Wizara hiyo kwa lengo la kuongea viongozi hao kuhusu utendaji kazi wenye tija kwa wananchi jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa akiongea na baadhi ya vingozi na watendaji wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) alipotembelea Wizara hiyo kwa lengo la kuongea viongozi hao kuhusu utendaji kazi wenye tija kwa wananchi jijini Dar es salaam. Akizungumza katika mkutano huo pamoja na mambo mengine ametaka apewe maelezo na Maofisa wa TAMISEMI ambao mradi wa mabasi ya mwendo kasi (DART) upo chini yake kwamba, kwanini hadi sasa mradi wa mabasi yaendayo kasi haujaanza hadi sasa na ni lini mradi huo utaanza.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa akiongea na baadhi ya vingozi na watendaji wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) alipotembelea Wizara hiyo kwa lengo la kuongea viongozi hao kuhusu utendaji kazi wenye tija kwa wananchi jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa akiongea na baadhi ya vingozi na watendaji wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) alipotembelea Wizara hiyo kwa lengo la kuongea viongozi hao kuhusu utendaji kazi wenye tija kwa wananchi jijini Dar es salaam.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) akitoa taarifa fupi kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa alipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es salaam. Picha zote na Mangi-MAELEZO