Waziri Mkuu Awataka Watanzania kujenga Utaratibu wa Kupima Afya

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amewataka wa Tanzania kuwa na utamaduni wa kupima afya mara kwa mara ameyasema hayo akiwa anawahutubia wananchi walio hudhuria sherehe ya Krismas aliyo anda katika kijiji cha Kibaoni picha na chris mfinanga

Wananchi walio hudhuria sherehe ya Krismasi ambayo iliandaliwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika kijiji cha kibaoni wanaonekana wakiserebuka muziki wa dansi

Badhi ya wakina mama wakiwa na msaidizi wa Waziri Mkuu Mama Kapaya wakiwa wamejipumzisha kwenye kivuli wakibadilishana mawazo kutokana na sherehe ya Krismasi ilivyo fana katika kijiji cha Kibaoni