WAZIRI MKUU ASHIRIKI SHUGHULI ZA MAENDELEO MKOANI KAGERA LEO.

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Zamzam kwenye Manispaa ya Bukoba akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera leo. Kushoto ni mkewe Tunu na kulia kwake ni mkuu wa mkoa huo, Mohamed Babu.

Picha ya Juu: Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa amevaa kofia aliyozawadiwa na wananchi wa Manispaa ya Bukoba baada ya kufungua jengo la utawala la shule ya sekondari ya  Buhembe.

Picha kwa hisani ya Michuziblog.