
Waziri wa Fedha , Mustafa Mkulo akitoa hotuba yake leo (jana) wakati wa uzindunzi wa huduma ya TPB POPOTE ulifanyika kwenye hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi, ( kushoto) akimsikiliza kwa makini Posta Master Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, John Mndeme (kulia ) anayesisitiza jambo mara baada ya uzindunzi wa huduma ya TPB POPOTE ulifanyika kwenye hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es Salaam jana.