Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimianana Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimatifa Benard Membe,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo,kwa madhumuni ya kutoa mkono wa pole kwa Rais kutokana na Ajali ya
Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Seagul,na kusababisha wananchi kupotez
Roho zao.[
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimatifa Benard Membe,baada ya mazungumzo yao alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo,kwa madhumuni ya kutoa mkono wa pole kwa Rais
kutokana na Ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Seagul,na
kusababisha wananchi kupotez Roho zao.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]