Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akikagua barabara maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam kuangalia uharibifu wa miundombinu uliofanywa na mvua za mafuriko, kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa TANROADS, Injinia Patrick Mfugale.
Waziri Dk. Magufuli akikagua daraja eneo la Kawe
Waziri Dk. Magufuli akikagua daraja eneo la Kinyerezi. (Picha zote na Martin Ntemo)