Waziri Dk. Nagu alipotembelea banda la Wizara ya Fedha Sabasaba

Msemaji Mkuu wa Wizara hiyo, Ingiahedi Mduma (kulia) akimkabidhi Waziri Nagu zawadi mara baada ya kumaliza zoezi la kutembelea mabanda ndani ya Jengo la Wizara ya Fedha Sabasaba. Picha zote kwa hisani ya Kitengo cha Habari Wizara ya Fedha.

Hapa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu akifanya mazungumzo na Msemaji wa Wizara ya Fedha Ingiahed Mduma ndani ya banda la Wizara ya Fedha, Maonesho ya 35 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba)