Waziri Christopher Chiza Atembelea Miradi ya NSSF Kigamboni

Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi Karim Mataka, akimwelekeza jambo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhandisi Christopher Chiza (kulia), alipotembelea miradi ya Uwekezaji inayofanywa na NSSF Dar es Salaam jana. Wengine ni maofisa wa shirika hilo. (Na Mpigapicha Wetu)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhandisi Christopher Chiza (mwenye suti nyeusi), akimsikiliza kwa makini Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karim Mataka kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakati akimweleza kuhusu maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo, Dar es Salaam jana. (Na Mpigapicha Wetu)

Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi Karim Mataka, akimuongoza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhandisi Christopher Chiza (kulia), kupita kwenye daraja la muda, alipotembelea miradi ya Uwekezaji inayofanywa na NSSF Dar es Salaam jana. (Na Mpigapicha Wetu)

Baadhi ya nyumba za kisasa zinazojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), eneo la Kigamboni ambazo pia zilitembelewa na waziri Christopher Chiza.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhandisi Christopher Chiza (kulia), akizungumza jana alipotembelea miradi ya Uwekezaji inayofanywa na NSSF Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhandisi Christopher Chiza (aliyeinua mkono), akiuonyesha kidole ukuta wa nyumba ambao mmiliki wake amegoma kuuvunja kupisha mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigambo, alipofanya ziara ya kutembelea miradi ya Uwekezaji inayofanywa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dar es Salaam jana. Wengine (mwenye suti nyeupe ni Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja hilo, Mhandisi Karim Mataka na Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Juma Kintu (kulia).

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhandisi Christopher Chiza (aliyeinua mkono), akiuonyesha kidole ukuta wa nyumba ambao mmiliki wake amegoma kuuvunja kupisha mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigambo, alipofanya ziara ya kutembelea miradi ya Uwekezaji inayofanywa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dar es Salaam jana. Wengine (mwenye suti nyeupe ni Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja hilo, Mhandisi Karim Mataka na Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Juma Kintu (kulia).

Baadhi ya nyumba za kisasa zinazojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), eneo la Kigamboni ambazo pia zilitembelewa na waziri Christopher Chiza.

Baadhi ya nyumba za kisasa zinazojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), eneo la Kigamboni ambazo pia zilitembelewa na waziri Christopher Chiza.

Shughuli zikiendelea...

Shughuli zikiendelea…

Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni ukiendelea.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhandisi Christopher Chiza (katikati), akionyesha moja ya ramani za nyumba za kisasa zinazojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), katika eneo la Kijichi, Kigamboni, alipotembelea miradi ya uwekezaji inayofanywa na NSSF, Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mradi wa shirika hilo, Mhandisi Karim Mataka na Mtendaji Mkuu wa mradi wa Dege Eco, Mhandisi Julius Nyamuhokya.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhandisi Christopher Chiza (katikati), akionyesha moja ya ramani za nyumba za kisasa zinazojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), katika eneo la Kijichi, Kigamboni, alipotembelea miradi ya uwekezaji inayofanywa na NSSF, Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mradi wa shirika hilo, Mhandisi Karim Mataka na Mtendaji Mkuu wa mradi wa Dege Eco, Mhandisi

Julius Nyamuhokya.