
Mwenyekiti wa Chama cha Wazee wilayani Muheza (UWAWAMU) Seif Athumani akizungumza kushoto ni Mkuu wa
wilaya ya Muheza,Hajati,Mhandisi Mwanasha Tumbo akifuatilia kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza.
Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza (DAS) akizungumza neno kwenye kwenye mkutano huo |
Mwenyekiti wa Halmasahuri ya wilaya ya Muheza akizungumza
|
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto akigawa zawadi ya sabuni kwa mmoja kati ya wazee wilayani humo wakati wa siku ya wazee dunia kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri wilayani humo.
Mkuu wa wilaya ya Muheza, Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto akigawa zawadi ya sabuni kwa mmoja kati ya wazee wilayani humo wakati wa siku ya wazee dunia kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri wilayani humo.
Mkuu wa wilaya ya Muheza, Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto akigawa zawadi ya sabuni kwa mmoja kati ya wazee wilayani humo wakati wa siku ya wazee dunia kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri wilayani humo habari kwa hisani ya blog ya kijamii ya Tanga Raha