Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam wakiswali swala ya Idd. Waislamu wote leo wameungana na Waislamu ulimwenguni kote kusherehekea Siku Kuu ya Idd baada ya kumaliza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. (Picha kwa hisani ya FullShangwe Blog).

Baadhi ya Wanafunzi wa Madrassa ya Tishabab iliyopo Magomeni wakipita mitaa kadhaa ya eneo hilo wakisherehekea Siku Kuu ya Idd.