Watoto 15 Waingia Nusu Fainali Shindano la Vipaji, ‘MO Kids Got Talent’

Pichani juu na chini ni baadhi ya kati ya watoto 15 wakionyesha vipaji vyao kwenye semi finals za shindano la kusaka vipaji kwa watoto na vijana la "MO Kids Got Talent" lililoandaliwa na Kampuni ya Frost Africa na kudhaminiwa na kampuni ya MeTL Group, ambapo leo jioni kutafanyika fainali za mashindano hayo kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar na mshindi kujinyakulia fedha taslim shilingi Milioni 5 za Kitanzania.

Pichani juu na chini ni baadhi ya kati ya watoto 15 wakionyesha vipaji vyao kwenye semi finals za shindano la kusaka vipaji kwa watoto na vijana la “MO Kids Got Talent” lililoandaliwa na Kampuni ya Frost Africa na kudhaminiwa na kampuni ya MeTL Group, ambapo leo jioni kutafanyika fainali za mashindano hayo kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar na mshindi kujinyakulia fedha taslim shilingi Milioni 5 za Kitanzania.


DSC_1678

Chief Judge wa Shindano la vipaji vya watoto na vijana wadogo la  “MO Kids Got Talent”, Salma Mziray, akitoa maoni yake kwa baadhi ya washiriki walioingia semi finals za shindano hilo linalofanyika kwenye hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar es Salaam. Kulia ni Jaji Neema Theobald na kushoto ni msanii wa filamu nchini Hidaya Njaidi wakiwa meza kuu.

DSC_1666

Sehemu ya zawadi zilizotolewa kwa watoto walioshiriki kwenye usaili wa shindalo la “MO Kids Got Talent 2013” ambapo fainali zake zinafanyika leo kuanzia saa Kumi na moja jioni ndani ya Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar.

DSC_1875

Mambo ya Sugua Gaga hayo…… Wapi Shaa….??? Kipaji hicho…!!!

DSC_1928

DSC_1760

Sehemu ya watoto wakionyesha vipaji vyao vya aina mbalimbali ikiwemo kucheza, kuimba na vingine kibao.

DSC_1781

DSC_1801

DSC_1822

DSC_1686

Kipaji cha mchezo wa Karate pia kilikuwepo.

DSC_1745

DSC_1789

Sehemu ya watoto wakisubiria kuingia kwenye chumba maalum kuonyesha vipaji vyao.

DSC_1702

Afisa Mtendaji Mkuu wa Frost Africa, Bw. Peter  Sekasiko akigawa zawadi zilizotolewa na MeTL Group pamoja na kupata picha ya kumbukumbu kwa washiriki waliojitokeza kwenye usaili wa shindano la “MO Kids Got Talent” ambapo fainali za shindano hilo zitafanyika leo kuanzia saa kumi na moja jioni kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar.

DSC_1715

DSC_1773

DSC_1812

DSC_1824

DSC_1836

DSC_1857

DSC_1915

DSC_1785

DSC_1749