Wateja Banda la UN Sabasaba Wapewa Fursa Kutoa Maoni kwa Simu

Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu (kushoto) akimuelekeza Muhidin Issa Michuzi (Ankal) Mmiliki wa Michuzi Blogu namna ya kutuma maoni ya utendaji wa UN nchini Tanzania alipotembelea banda la UN kwenye viwanja vya maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba.

Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu (kulia) akimuelekeza mmoja wa wateja waliotembelea banda la UN kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara namna ya kutuma maoni ya kutathimini utendaji wa UN nchini Tanzania kwa kutumia simu ya mkononi alipotembelea banda la UN kwenye viwanja vya  ya Sabasaba.

Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu (kushoto) akimkabidhi kipeperushi kinachoelezea shughuli za UN mmoja wa wateja waliotembelea banda la UN kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara.

Ofisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Usia Nkhoma Ledama (kushoto) akimkabidhi zawadi mmoja wa wateja waliotembelea banda la UN kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara namna ya kutuma maoni ya kutathimini utendaji wa UN nchini Tanzania kwa kutumia simu ya mkononi alipotembelea banda la UN kwenye viwanja vya  ya Sabasaba.

Kushoto ni baadhi ya wateja waliotembelea banda la UN kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara wakipewa maelezo walipotembelea banda la UN kwenye viwanja vya Sabasaba.

Muonekano wa banda la UN kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.