WATANZANIA waishio nchini Ujerumani wameikamia siku ya maadhimisho ya sherehe za miaka 49 ya Muungano, zinazotarajia kufanyika Mjini Kolon, Siku ya Jumamosi 27.04.2013. Taarifa zinasema ndani ya maadhimisho hayo wasanii anuai pia wamekaribishwa uwanjani!
Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU), unataraji kufanya sherehe za miaka 49 ya Muungano wa Tanzania Bara na visiwani,kama linavyoonekana tangazo lao hapo juu. Watanzania wote na marafiki wa Tanzanzania
mnaoishi ndani na nje ya Ujerumani mnakaribishwa.
“Umoja ni Nguvu ! Utengano Ni Udhaifu” Chereko Chereko na mwenye mwana Watanzania jitokezeni kwa wingi
kwa mawasiliano zaidi at kamati.utu@googlemail.com
simu +49(0)1737363422