Mtoa mada katika semina ya wataalam wa kilimo, wakulima, watendaji wa halmashauri na viongozi, Geofrey Chambua (wapili kushoto) akiwasilisha mada katika semina hiyo iliyokutana kuichambua Sera ya Kilimo na kuangalia changamoto mbalimbali zinazowakumba wakulima ili kuunda timu ya pamoja ya ufuatiliaji itakayofuatilia utekelezaji wa sera hiyo.
Mtoa mada katika semina ya wataalam wa kilimo, wakulima, watendaji wa halmashauri na viongozi, Geofrey Chambua (kulia) akiwasilisha mada katika semina hiyo iliyokutana kuichambua Sera ya Kilimo na kuangalia changamoto mbalimbali zinazowakumba wakulima ili kuunda timu ya pamoja ya ufuatiliaji itakayofuatilia utekelezaji wa sera hiyo.
Baadhi ya washiriki katika semina ya wataalam wa kilimo, wakulima, watendaji wa halmashauri na viongozi, wakiwa katika majadiliano katika semina hiyo iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika jijini Dar es Salaam.
Majadiliano yakiendelea…. WATAALAMU wa Kilimo, wakulima, watendaji wa halmashauri na viongozi kwa pamoja wamekutana na kuichambua Sera ya Kilimo kuangalia changamoto mbalimbali zinazowakumba wakulima ili kuunda timu ya pamoja ya ufuatiliaji itakayofuatilia utekelezaji wa sera hizo na changamoto zake. Semina hiyo ya pamoja imeandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) ikilenga kushirikisha wataalam, wakulima na sekta zingine kutatua kero mbalimbali katika sekta hiyo.
Baadhi ya washiriki katika semina ya wataalam wa kilimo, wakulima, watendaji wa halmashauri na viongozi, wakiwa katika majadiliano katika semina hiyo iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika jijini Dar es Salaam.
Washiriki katika semina hiyo iliyokutanisha Wataalam wa Kilimo, wakulima, watendaji wa halmashauri na viongozi kwa pamoja kuichambua Sera ya Kilimo kuangalia changamoto mbalimbali zinazowakumba wakulima wakiwa katika majadiliano ya vikundi.