Washiriki Vodacom Miss Tanzania 2011 wafundishwa kuendesha Jeep

Vodacom Miss Photogenic, Stacy Sospeter akishuka kwenye gari aina ya Jeep Patroit ambalo alikuwa akijifunzia namna ya kuendesha,Mshindi wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 atazawadiwa gari ya aina hiyo yenye thamani ya shilingi mlioni 72.

Mshiriki wa Vodacom Miss Tanzania, Alexia William akimsikiliza Ofisa Mauzo wa kampuni ya kuuza magari ya CFO Motors, Magdalena Mpeku akimpa maelezo namna ya kuendesha gari la aina ya Jeep Patroit lenye thamani ya Tsh Milion 72 ambalo Vodacom Miss Tanzania 2011 atazawadiwa siku ya shindano hilo Mlimani City Dares Salaam septemba 10.