
Mpishi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Cliff Chilipachi
akitoa maelezo kwa washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika
kwa ajili ya usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita walitembelea
kiwandani hapo leo mchana.

‘Packaging’ Manager wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Praygod Minja
akitoa maelezo kuhusu namna ya upakiaji wa bia ya Tusker kwa washiriki
kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili ya usahili wa Tusker
Project Fame msimu wa sita walitembelea kiwandani hapo leo mchana.