Washiriki Miss Kinondoni kuingia kambini kesho

Ofisa Udhamini wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude akiwasalimia baadhi ya warembo wanaoshiriki miss Kinondoni wakati walipotambulishwa rasmi jana tayari kwa kuanza kambi yao siku ya Jumatano wiki hii Mzalendo Pub Makumbusho jijini Dares Salaam.