Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akiwakabidhi vyeti na hundi ya dolla 300 moja ya washindi wa medali ya Silva Eben Kinabo (wakwanza kulia) na Tabian Senga(katikati) kutoka shule ya Sekondari ya Loyola Tanzania katika hafla ya tuzo za mashindano ya
“Infomatrix Africa” yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.