Meneja Mawasilianao wa Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa (kushoto) akimkabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni 5 mshindi wa Promosheni ya “MAHELA” Ofisa wa Polisi Kanda Maalumu ya jijini Dar es Salaam Bi. Liberata Kaligita. Aliejishindia kwenye promosheni hiyo inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, zaidi ya sh. milioni 400 zinaendelea kushindaniwa, katikati ni Ofisa Polisi Bethuel Sumari.